Usiku wa kuamkia Jumapili Oktoba 27,2
O19, lilitokea Tukio kubwa la ugawaji wa Tuzo za wasanii Afrika kwa jina All Africa Music Awards (Afrimma)iliyofan
yika jijini Dallas Marekani.
Kwenye Tuzo hizo mwimbaji toka Tanz
Tanzania ameshida tuzo hii ya msanii
Bora wa kiume Africa .
Katika kipengele hicho, Ommy Dimpoz aliwania na
1:Diamond platnumz -Tanzania
2:Harmonize-Tanzania
3:Nyashinsk-Uganda
4:Juma Jux-Tanzania
5:Eddy kenzo-Uganda
6:Kaligraph Jones-Kenya
7:Ommy Dimpoz-Tanzania(Mshindi)
8:Rayvan-Tanzania
9:The Ben-Rwanda


0 Comments