Na Mwandishi Bosco Kayombo
Diddy hatani ,Ameamua sasa kujiita"LO
VE) Kama ambavyo alitutangazia  kipin
di cha nyuma. Mtandao wa the blast Um
eripost kuwa mkongwe Hugo amefungu
a faili katika mahakama ya mjini Lagos
Angels kuomba kubadilisha kwa jina la
 Lake. Diddy katika maombi yake Diddy
Ameomba kutumia jina lake(Sean Love
Combs) Badala ya Sean John Combs am
ball ndio jina lake kuzaliwa. Jina hilo lit
atumika hadi Kwenye nyaraka za serika
li na vitambulisho