Na Mwandishi Bosco Kayombo
Msanii Wa Maigizo Maarufu Hapa Nchini Tanzania Elizabeth Michael
Lulu, Apata Nafasi Ya kuwa mtangazaji.
EFM Radio iliyopo Kawe Jijini Dar-es
-salaam ,Kipindi cha Joto la Asubuhi
Akisoma Magazeti kwenye kipindi
icho ambapo Awali Alisoma
Maulidi Kitenge Kwa Sasa Ameamia
Wasafi Fm