MFANYABIASHARA ALIYEHUKUMIWA KULIPA BILIONI 24 ATIWA HATIANI
Na christer shechambo
Mfanyabiashara Mohamed Yusufali aliyeamriwa kulipa zaidi ya bilioni 24 wiki iliyopita, ametiwa hatiani tena katika kesi nyingine na kukubali kurejesha shilingi milioni 101.5 kwa kusababisha hasara katika mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) Ya shilingi bilioni 2.9

Mshtakiwa yusufali alitiwa hatiani kwa mara ya pili mahakama kuu division ya rushwa na uhujumu uchumi mbele ya jaji Lilian Mashaka baada ya kukiri kosa.

0 Comments