About Me

header ads

BUNGE KUCHAMBUA TAARIFA YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI

Na Emmanuel Fusi
Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza kuchambua taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu hesabu za Serikali za Mitaa na Serikali Kuu zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, mwaka jana.


Post a Comment

0 Comments