Na Mwandishi Bosco Kayombo
Siku chache Baada ya Msanii huyu
Harmonize , Kuachana Na lebo
Ya Music inayo fahamika Kwa
Majina WCB, Jitihada zake Zimezaa
Matunda Ambapo Jana Amefungua
Mgahawa wake Unaoitwa Konde boy
Mgahawa , Utakuwa Ni Bure kabi
Sa Utadili Na Watoto Waishio mazin
Gila Magumu Mitaani


0 Comments