Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Ka
ngi lugola amekawataka Viongozi wa Je
shi la polisi nchini kuhakikisha wanawa
tetra Askali wao wanaofanya kazi vizuri
Na kwa uwaadilifu wanaopata matatiz
o pindi wanapotekeleza majukumu yao.
Amesema hayo Mkoani Dodoma wakati akifanya doria ya kubaini vitendo mbali
Mbali vya kihalifu vilivyokuwa vikifany
ika mkoani humo.
Pia baada yakufanya doria hiyo Waziri lugola Amesema"Viongozi hao wanapa
swa kuwatetea Askali wanaofanya kazi
Vizuri ya kupambana na wahalifu laki
ni baadhi yao wamekuwa wazembe na kutoa onto kuwa askali yeyote atake Ua
wa na jambazi atakua kafanya uzembe
Wa hali ya juu.


0 Comments