Na Bosco Kayombo.
Ikiwa leo ni Siku ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mwanamitindo Kim Kardashian, Kanye West ambae ndie mume wa Kim, amemfanyia surprise mama wa watoto wake baada ya kuchangia kiasi cha fedha cha Dora milioni moja ambazo ni zaidi ya bilioni mbili za kitanzania kwenye taasisi ambazo mwanamitindo huyo anasimamia katika kuchangia watu wasiokuwa na uwezo.
Kupitia kwenye insta stori ya Kim Kardashian ameweka ujumbe huo.


0 Comments