About Me

header ads

HABARI, BARABARA YA SEGERA - MKOMANZI YAFUNGULIWA BAADA YA KUFUNGWA KUTOKANA NA MAFURIKO



Na Asma dady

Barabara ya Segera - Mkomazi ambayo ilikuwa imefungwa tangu jana kutokana na barabara hiyo kujaa maji eneo la Mandera, imefunguliwa leo baada ya maji kupungua na Tanroads kuifanyia marekebisho.

Post a Comment

0 Comments