Na Winston Kinyaha
Mwanadada anayetikisa Bongomovie na kutimkia Marekani, staa wa Bongo
Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli ni kwamba
nyumbani ni nyumbani kwani sasa amepakumbuka mno na anatamani
kurejea.
Akizungumza na Diana anasema amemkumbuka mno mama’ke na baadhi ya
rafiki zake ambapo huko hawapo, hivyo hapawezi na anatamani mno kurejea
Bongo. “Kiukweli nimemisi sana nyumbani na natamani kurudi,” alisema
Diana.


0 Comments