Chama cha ACT-Wazalendo kimeeleza ji
nsi walivyo fanyiwa figisu katika kupat
a fomu za uchaguzi za mitaa kwenye Ji
mbo la Liwale.
Chama hicho Kimeeleza kuwa hadi Jana
Majira ya Mchana katika jumbo hilo ha
zijatolewa fomu za uchaguzi wa serikali
Za mtaa kwa vyama vyote vyake Upinza
ni.
Taarifa hiyo ya chama waliandika Jana kupitia ukurasa wake wa Twitter huku
Wakieleza CCM ilichukua fomu hizo Okt
oba 28,2019 nje ya ratiba rasmi ya uchu
kuaji fomu.



0 Comments