Mbosso Afunguka Knyimwa mtoto Aliyezaa na Boss Martha, ”Akikua atanitafuta”
Tuesday octoba 22 2019
Na asma mkufya 

Kwa mara ya kwanza msanii kutoka lebo ya WCB Mbosso Khan amezungumzia suala lake la yeye kunyimwa mtoto aliyedai kuwa amezaa na Marehemu Boss Martha (mchekeshaji)