Na Winston Kinyaha
Msanii wa muziki Ali Kiba amepata ubalozi wa kutangaza utalii visiwani Zanzibar.
Aki Kiba amepewa ubalozi huo baada ya kukabiziwa na waziri wa habari,utalii Zanzibar Mahmoud Kombo kwaajili ya kutangaza utalii wa visiwa hivyo.
“I am very happy to be awarded a Certificate of Local Tourism to add more leverage to promote tourism in Zanzibar and Tanzania in general, to my fellow Tanzanians and even tourists from different countries, we will continue to welcome them,” said the alikiba singer.

0 Comments